Home Page
About Us
News
Sponsors
Links
Contact Us


Search our Site
Search our Site
Search for...

Contact Us!
Contact us by using our convenient online form.

Diocese of Zanzibar at P.O. Box 294, Zanzibar, Zanzibar n/a TZ - KARIBU

KARIBU


kwenye mtandao rasmi wa


JIMBO KATOLIKI LA ZANZIBAR


KWENYE VISIWA VYA ZANZIBAR (Unguja na Pemba)

TANZANIA,

 

AFRIKA YA MASHARIKI


 

Kanisa Kuu la Mt. Yosefu (juu) mjini Zanzibar ni makao makuu ya Jimbo


Tumejitahidi kwenye kurasa hizi kuweka
habari zinazohusu Kanisa Katoliki kwenye visiwa vya Zanzibar; huko lilikotoka,hali yake kwa sasa hivi na huko linakoelekea; maklero wanaoliongoza,parokia zinazohudumia waumini kwa sasa kwenye visiwa hivi. Tumia viunganisho kwenye visanduku vilivyoko kulia kwako kwa kila kurasa uweze kusoma au kupata habari zaidi kuhusu jimbo.


Viunganisho kwa lugha ya Kiswahili vipo kwenye visanduku chini ya kurasa zote.
 

Kama utahitaji huduma nyengine, usisite kutumia viunganisho vinavyotaja “huduma za Jimbo” upande wa kulia kwa ajili ya majina, namba za simu,

Anwani za kwenye mtandao ya kila mmoja kwenye ofisi husika, idara na vitengo mbalimbali katika jimbo.


Shukrani kwa kutembelea kurasa zetu. Tutashukuru tukipata mawazo na mawaidha yenu kwa ajili ya kuboresha hizi kurasa. Kuwasiliana na webmaster, tafadhali tumia “Fomu ya mtandao” iliyoko upande wa kushoto chini ya “wasiliana nasi.”



(Back)

This site is hosted by CatholicWeb.com | TheCatholicDirectory.com
Powered by CompBiz EZWeb© software.
Server management powered by Spiderhost.